Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mayu lete code za leo tuendelee kukaza humu humu kwenye betting πŸ’ͺπŸ’ͺ
Mkuu Odd 3 zinakuja mchana huu

Shemeji yako nyumba ndogo kaomba hela wax ya Xmass
Na bi mkubwa kabana sana bajeti kipindi hiki.
Sina budi kuitafuta kwa Kanji kwa udi na uvumba πŸ˜‚
 
Kumekuwa na malalamiko mengi ya wakamalia kutokana na kulost mkeka, na wengi wakisema kwamba timu zinauza mechi , kampuni za kubeti zinanunua mechi , timu zinapanga matokeo na wengine wakihisi hadi kwenye ushirikina labda kampuni za kubeti zinatumia ushirikina , lakini sababu zote hapo si za kweli na hazina mashiko Wala uhalisia Bali zinakuwa ni hisia za pesa ya mkamaria inavouma kupoteza pesa pengine ata Kwa odd 1.01 inachana.
Wacha niwape sababu kuu mbili za kwanini mechi zinakuja na matokeo ya kushangaza na yasiyotegemewa na wengi ;
1. MPIRA KUDUNDA; hii inatokea pale timu inayopewa nafasi ya kushinda kupoteza mchezo. Unaweza Kuta favorite team inacheza na underdog mechi imeisha underdog kashinda 1-0 lakini unakuta favorite team imetawala namba imepiga on target 10+ lakini underdog kapata on target Moja tu na ndo imempa Hilo goli na mechi ikaisha hvo, apo ndo tunasema mpira umedunda.
2.WACHEZAJI SIO MAROBOTI; wachezaji hawawez cheza katika fomu ile ile katika Kila mechi , Kuna mechi watatumia energy kubwa na Kuna mechi watasevu energy kulingana na upinzani wa timu wanayocheza nayo , ndomana Kuna siku watashinda 8 na siku hawatofunga goli hata Moja.
Pia Kwa kumalizia , kwenye betting ni kuwa mvumulivu tu Kwa kuwa hakuna matokeo ya uhakika ndomana ata odd 1.01 inachana ,michezo Huwa Ina matokeo ya kistaajabisha na kuvunja moyo , inachotakiwa ni kubeti kistaarabu kiwango chako Cha ziada unachomudu kupoteza. NB usibetie pesa Yako ya mwisho kabisa a muhimu , mana unaweza ukasema Leo timu Fulani lazma washinde ukaweka pesa kubwa , kumbe wameenda kutafuta sare tu hawana shida sanΓ  na matokeo ya ushindi.
Ukiliwa pesa Yako tulia acha kupiga kelele zisizo na msingi kwamba mechi zimeuzwa , mnafikiri mechi kupangwa matokeo ni kama kugawa maandazi au , timu ZOTE mbili zikubaliane kupanga matokeo , uongozi wa timu , na marefa , makocha , ko wote hao wanapewa shngap, haiingii ata akilini , huo ni ulimbukeni we unataka Kila siku Bayern awe anashinda tu milele ndo mana unakuja kulalamika habari za Bayern kuuza mechi. Na hizi stori za mechi kuuzwa zinazungumzwa na wanaobeti Wala huwezi Kuta ambaye Huwa habeti akaongea upuuzi huo.
Anyway tuseme mechi zinauzwa sawa tufanye ni kweli , je Kuna timu itashinda mechi zake zote za ligi bila kufungwa au ata kutoa sare? Ndomana nkasema wachezaji sio maroboti
 
Tuishi wapi apo kuna km mia ivi naona haina nafasi kwny walet
 

Attachments

  • Screenshot_20241215_101059_Chrome.jpg
    93.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_20241215_100927_Chrome.jpg
    122.6 KB · Views: 3
Betway


13447126


1344A14C


πŸ’ͺ🏿 Kazi iendelee tu hakuna namna

Kama ni mfwenye, jana mfwenye mzito ulitembezwa

Don't give up
 
Atletico saa hii wamoto sana
Muombe tu Over 0.5
Odd 1.144

Derby ya Manchester timu zote hazieleweki omba kona over 10( unaweza kushuka kidogo)
Odd 1.54

Renaissance wakiwa kwao wanashambulia sana waombe Over 0.5
Odd 1.125

Chelsea na Brentford ni timu zenye nidhamu No Red card
Odd 1.145

Simuoni Southampton akifunga goli 3 mbele ya Spurs, Mzue South kwa under 2.5
Odd 1.25

Hadi hapo jumla ODD 2.5 zenye asilimia kubwa ya KUTOA

Ili tusaidiane lawama inabidi sana uchagua game moja ya do or die kati ya hizi

Milan Win Odd 1.54
au
Dortmund Win Odd 1.45
au
Mamelodi Win Odd 1.54
au
Atletico Win Odd 1.47
au
Simba Win Odd 1.68


Ukijumlisha na timu moja hapo juu ya do or die unapata kuanzia
Odd 3.5 hadi Odd 4

Tia mzigo kisha agiza kinywaji usubiri maajabu ya matokeo ya mpira ili uje kunishukuru/laumu baadae

ALWAYS STAKE WHAT YOU CAN AFFORD TO LOSE πŸ™
 
Leo naanza kucheza roll over
Na achana na tamaa za odds milioni au maelfu au Malaki

Roll over zangu sitaki zizidi odds 50


Roll over #1


Sportybet

F9FBAB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…