Kama wana makato ya 10% bado hawajanishawishi.Kazi kwenu wakuu hamna haja ya 1xbet sportbet kamaliza kazi update app uanze kuenjoy.Game 1 machagua hata 10 ww tu.
View attachment 3179544
Mkuu kwan unafatilia mpira kweli?? Kwamba huelewei Man city anapitia nini saivi?Yani leo hii city wa kupewa odd zote hizo na hapo anaweza asipate hata goli moja sijui nini kimetokea au kocha kaishiwa mbinu,
Kabisa au options nzuri ni GG au over 1.5Utaliwa bure mzee. Hata kama City wamechoka wanaweza kuwaadhibu Villa kipigo cha mbwa mwizi hadi ukashangaa. Kama wewe ni mkamaria unayeamini ktk probability, mpe City ushindi hela yako itakuwa salama zaidi ya kuwapa hao Villa.
Wapi wasipokataKama wana makato ya 10% bado hawajanishawishi.
Kuuliza pia ni kosa mkuuMkuu kwan unafatilia mpira kweli?? Kwamba huelewei Man city anapitia nini saivi?
Tusiongee kwa unafiki, ile full mkoko Man city ilikua moto.
Saiv Stones majeruhi, Walker hayupo 100% fit, KDB katoka majeruhi, Doku na Grealish katoka majeruhi, Ake na Akanji wamerudia tena majeruhi baada ya gemu ya Liverpool, Kovacic karudi majeruhi .
Rodri hayupo kabisa, afu mtu unauliza City amepatwa na nn, subiri kuanzia January
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
DaaahMirinda nyeusi moja na mayai mawili, kama wewe ni me, unavyo
Sio kwa hizo odi 2. Utamponza mwenzio.Utaliwa bure mzee. Hata kama City wamechoka wanaweza kuwaadhibu Villa kipigo cha mbwa mwizi hadi ukashangaa. Kama wewe ni mkamaria unayeamini ktk probability, mpe City ushindi hela yako itakuwa salama zaidi ya kuwapa hao Villa.
Man city hakosi goli hata siku moja mzeeYani leo hii city wa kupewa odd zote hizo na hapo anaweza asipate hata goli moja sijui nini kimetokea au kocha kaishiwa mbinu,
Atalanta anaua mtu huko.
Na Arsenal anauliwa hukoAtalanta anaua mtu huko.