Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

occisa.jpg

BET OF THE DAY ⚽⚽

Code👉 LDZVK

📌Tumia Promo Code TIPS2424 Upate 300,000 Bure Baada Ya Kudeposit.

Jisajili PariPesa Hapa 👇

https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code: TIPS2424
 
Kazi kwenu wakuu hamna haja ya 1xbet sportbet kamaliza kazi update app uanze kuenjoy.Game 1 machagua hata 10 ww tu.
IMG-20241218-WA0002.jpg
 
Yani leo hii city wa kupewa odd zote hizo na hapo anaweza asipate hata goli moja sijui nini kimetokea au kocha kaishiwa mbinu,
Mkuu kwan unafatilia mpira kweli?? Kwamba huelewei Man city anapitia nini saivi?

Tusiongee kwa unafiki, ile full mkoko Man city ilikua moto.

Saiv Stones majeruhi, Walker hayupo 100% fit, KDB katoka majeruhi, Doku na Grealish katoka majeruhi, Ake na Akanji wamerudia tena majeruhi baada ya gemu ya Liverpool, Kovacic karudi majeruhi .

Rodri hayupo kabisa, afu mtu unauliza City amepatwa na nn, subiri kuanzia January

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Kuuliza pia ni kosa mkuu
 
Utaliwa bure mzee. Hata kama City wamechoka wanaweza kuwaadhibu Villa kipigo cha mbwa mwizi hadi ukashangaa. Kama wewe ni mkamaria unayeamini ktk probability, mpe City ushindi hela yako itakuwa salama zaidi ya kuwapa hao Villa.
Sio kwa hizo odi 2. Utamponza mwenzio.
 
Back
Top Bottom