Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ngoja nivizie cash out tu,,,, Madrid matraaako ,,,, goli tatu mitihani dah,,,, nilimpa apate goli tatu
Pole Mdau

Hiyo Team sio nyepesi sana
Pachuca kabla ya kumtoa Al AHLY Alicheza na Botafogo ya Brazil inayoongoza league ya Brazil na akamchapa 3 . Kwahiyo sio wepesi sana

Mpe YOUNG AFRICANS over 1.5 goal Mbili kesho utulie na nafsi yako
 
Betting sio bahati au kitu cha hisia
Nilitaka niweke 50k lakini nilisita
 

Attachments

  • Screenshot_20241219-001814~2.png
    84.2 KB · Views: 5
Pole Mdau

Hiyo Team sio nyepesi sana
Pachuca kabla ya kumtoa Al AHLY Alicheza na Botafogo ya Brazil inayoongoza league ya Brazil na akamchapa 3 . Kwahiyo sio wepesi sana

Mpe YOUNG AFRICANS over 1.5 goal Mbili kesho utulie na nafsi yako
Imetoa aisee,,,,, nilinyomwa cashout
 
Yanga ana hasira na kutaka kuprove sio kayumba kama Man CityπŸ˜‚. Muombe Over 1.5
Odd 1.7

Game ya Benfica timu mwenyeji ni mchovu sana kufunga mzuie kwa Under 1.5
Odd 1.18

ToT vs Man U wana penya sana katikati kutafuta magoli kuliko cross, No headed goal
Odd 1.59

Game ya Chelsea No sending Off(sio No Red Card)
Odd 1.2

Jumla odd 3.6 zenye asilimia kubwa ya kutoa

Tusaidiane lawama kwa kuchagua game moja tu ya direct win kati ya hizi πŸ‘‡πŸ‘‡

Zamelek Win. Odd 1.96
Inter Win. Odd 1.4
Atletico Luanda Win. Odd 1.46
Ajax Win. Odd 1.26

Ukijumlisha na timu moja hapo juu ya lawama unapata kuanzia
Odd 4 hadi Odd 7+

Tia mzigo kisha agiza kinywaji usubiri maajabu ya matokeo ya mpira ili uje kunishukuru/laumu baadae

ALWAYS STAKE WHAT YOU CAN AFFORD TO LOSE πŸ™

NB; Natumia 1xbet
 
Sportybet


12D774


πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅

Usipite bila kuchukua hii code
Weka hata mia kama unaogopa


πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅πŸ’΅


Edited πŸ‘‡

28D699
 
Mkuu nini tofauti ya no red card na no sending off
 
Yanga washakupa goli mbili tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…