Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naomba kupata mwongozo wa namna ya kuwa WAKALA wa BETTING. Yaani kuwa na betting shop. Mwenye mawasiliano tafadhali inbox me
 
Naomba kupata mwongozo wa namna ya kuwa WAKALA wa BETTING. Yaani kuwa na betting shop. Mwenye mawasiliano tafadhali inbox me
Hii ndio biashara inalipa 100% kwenye hii game...... RISK FREE
Wewe unakua mtu kati yaani mkamalia akila unapata gawio akiliwa unapata gawio
ROMANO na SIGRA wanapiga sana hela kwa kuwa mawakala wa 1xbet

Kampuni za kibongo zinabana sana uwakala zipo based sana OLINE
Kampuni zenye betting shop kama Meridian Galspot premierbet na Thronbet wana shop zao lakini wameajiri watu wanaendesha wenyewe

Kama ukitafuta channel nzuri ukapata watu wa uhakika kukutumia kama wakala wa 1xbet itakulipa sana, tatizo la njia hii ni kwamba utakua unaifanya kinyume cha sheria kwasababu 1xbet haijasajiliwa Tz

Au njia nyingine ni kutafuta wateja wajiunge na kampuni fulani kisha watumie promo code yako..... kila atakaye jiunga na kudeposit kwa link/code yako basi unapata gawio kama anavyofanya Ser

Tembele website zao kwa taarifa zaidi au hata kiwasiliana nao mkuu unaweza kupata shop yako ukawa unapiga hela zako bila kelele
 
Tujaribu hapa
 

Attachments

  • Screenshot_20241230-105642.png
    161.4 KB · Views: 4
  • Screenshot_20241230-105658.png
    179.2 KB · Views: 3
  • Screenshot_20241230-105710.png
    166.2 KB · Views: 3
  • Screenshot_20241230-105725.png
    149.6 KB · Views: 3
  • Screenshot_20241230-105735.png
    162.9 KB · Views: 2
  • Screenshot_20241230-105747.png
    173.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_20241230-105803.png
    172.6 KB · Views: 4
  • Screenshot_20241230-105811.png
    162.2 KB · Views: 3
Unaweka mil5 upate elf49?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…