Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nachukia sana odds vidagaa maana ndizo miyayusho
Screenshot_20241230_010048_1xBet.jpg
Screenshot_20241230_010048_1xBet.jpg
 
Naomba kupata mwongozo wa namna ya kuwa WAKALA wa BETTING. Yaani kuwa na betting shop. Mwenye mawasiliano tafadhali inbox me
 
Naomba kupata mwongozo wa namna ya kuwa WAKALA wa BETTING. Yaani kuwa na betting shop. Mwenye mawasiliano tafadhali inbox me
Hii ndio biashara inalipa 100% kwenye hii game...... RISK FREE
Wewe unakua mtu kati yaani mkamalia akila unapata gawio akiliwa unapata gawio
ROMANO na SIGRA wanapiga sana hela kwa kuwa mawakala wa 1xbet

Kampuni za kibongo zinabana sana uwakala zipo based sana OLINE
Kampuni zenye betting shop kama Meridian Galspot premierbet na Thronbet wana shop zao lakini wameajiri watu wanaendesha wenyewe

Kama ukitafuta channel nzuri ukapata watu wa uhakika kukutumia kama wakala wa 1xbet itakulipa sana, tatizo la njia hii ni kwamba utakua unaifanya kinyume cha sheria kwasababu 1xbet haijasajiliwa Tz

Au njia nyingine ni kutafuta wateja wajiunge na kampuni fulani kisha watumie promo code yako..... kila atakaye jiunga na kudeposit kwa link/code yako basi unapata gawio kama anavyofanya Ser

Tembele website zao kwa taarifa zaidi au hata kiwasiliana nao mkuu unaweza kupata shop yako ukawa unapiga hela zako bila kelele
 
Tujaribu hapa
 

Attachments

  • Screenshot_20241230-105642.png
    Screenshot_20241230-105642.png
    161.4 KB · Views: 4
  • Screenshot_20241230-105658.png
    Screenshot_20241230-105658.png
    179.2 KB · Views: 3
  • Screenshot_20241230-105710.png
    Screenshot_20241230-105710.png
    166.2 KB · Views: 3
  • Screenshot_20241230-105725.png
    Screenshot_20241230-105725.png
    149.6 KB · Views: 3
  • Screenshot_20241230-105735.png
    Screenshot_20241230-105735.png
    162.9 KB · Views: 2
  • Screenshot_20241230-105747.png
    Screenshot_20241230-105747.png
    173.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_20241230-105803.png
    Screenshot_20241230-105803.png
    172.6 KB · Views: 4
  • Screenshot_20241230-105811.png
    Screenshot_20241230-105811.png
    162.2 KB · Views: 3
HELABET TANZANIA PATA BONASI YA 300,000 UKIDEPOSIT


Jinsi ya kujiunga bofya link ya helabet [emoji1313][emoji1313]

Jaza namba yako ya simu kisha bofya send sms utapokea code jaza

Jaza password

Jaza promo code ya helabet ambayo ni A84

jisajili

Kudownload helabet app bofya https://1212fghnna.com/L?tag=d_1740051m_69921c_&site=1740051&ad=69921

Helabet


View attachment 3188643
Unaweka mil5 upate elf49?
 
Back
Top Bottom