oko majimaji
JF-Expert Member
- Nov 11, 2016
- 790
- 2,079
Nataka niweke 100k hapoView attachment 3191329Mimi nitaweka single ashinde 1H, akichemka nampa option hii maana odds zitakuwa zumeshashiba kidogo. Hapo tarudisha hasara na faida. Akichemka na hapa basi itakuwa ni hasara ya kawaida ya mkamaria.
Mfate mkuu daki 60 mambo magumu unavaa njumuuu unazama dimbaniNina milioni moja nataka nimfuate madrid mazima,ushauri wenu
Hahaaaa mkuuMfate mkuu daki 60 mambo magumu unavaa njumuuu unazama dimbani
Tafuta odd 5 au 4 weka laki.Nina milioni moja nataka nimfuate madrid mazima,ushauri wenu
Mimi nafanya hivi;Nataka niweke 100k hapo
Sawa mkuuTafuta odd 5 au 4 weka laki.
Unabaki 9k mfukoni..
Maana faida utakayopata kwa kumfata Madrid mazima ni 4k ambayo unaweza kuipata kwa laki by odd 4 au 5
Ikitokea hasara katika options hizo unabaki na 9 kuliko Kupoteza million Moja tajiri
mmmh umejilipuaMimi nafanya hivi;
Nikiwa na uhakika kwamba timu kubwa inaweza kushinda, nagawa mtaji kwa mpangilio ufuatao.
1. Nabeti first half ashinde kwa ushindi mzito wa kuanzia goli 2. Stake naweka 1/3. Akishinda tu, naachana na hiyo mechi kuibetia kimkakati. Nabeti kwa stake ndogo sana kujifurahisha tu.
2. Iwapo first half nikashindwa kula, naifata second half kwa option ile ile halafu naweka 2/3 ya mtaji. Kwa odds zake nikila tu nakuwa nimerudisha hasara ya 1H na faida juu.
Kwa mfano hapo kwenye picha nikiliwa tu nitamfata second half kwa 10,000 najua atakuwa na odds 2 hadi 3. Nikiliwa nakuwaView attachment 3191525 nimefunga hesabu ya siku.
JITU LA BANDIA nisaidie mtaji na Mimi nitafe hizi odd kumiOdds 10 Betway 144BD149
Kampuni gani hili mkuuLigi ya Misri ya kisengee sana. Wachezaji 40+ wanashindwa kufunga goli moja mpaka sasa hivi.
Bora hata ya ligi yetu siku hizi ina magoli.View attachment 3188742
888starzKampuni gani hili mkuu
Usiku mkubwa pamoja na kupata red card, Madrid anashindaUkiskia kisicho riziki hakiliki ndo hchi Cha Madrid , missed pk , cancelled goal , apo Yani unajiona huna bahatii
Hii njia leo imetoa kimiujiza kwa Madrid.Mimi nafanya hivi;