Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

aseeee huu ndio ujinga wa meridian.... inagoma kuplace bet..... nilitaka kuwacheza
1) I1-2
2) II1-2
3) GOAL EACH HALF
hao nilioweka....
 
aseeee huu ndio ujinga wa meridian.... inagoma kuplace bet..... nilitaka kuwacheza
1) I1-2
2) II1-2
3) GOAL EACH HALF
hao nilioweka....


Meridianbet at times kweli ni majipu kabisa. Unaweka bets ukifika sehemu flan ina-clear betslip yote = uanze upyaa ... inakera sn.
 
Duh..kazi inakuwa ngumu sana hii, yaani Karabag keshanichania mikeka yote ya leo nilimpa 1H under 1.5....aaarggggh
 
Kesho Ijumaa = 254 games, Jumamosi = 900games & jumapili = 700 games ... tunahitaji kutuliza akili kwenye selections tu ... hela ipo!
 
For sure, double chance X2 alipewa Odds ya 1.95 ... ckuiacha hiyo kwenye mikeka yangu yoote. Sema kuna mipuuzi mingine imechana [emoji16][emoji16] grrrrr

AZ Alkmaar
Krasnodar
Az Mpuuzi sana, na najua atakua ametembea na wengi
 
hapa ndio utaipenda betting
upload_2016-8-25_23-32-49.png
 
Back
Top Bottom