allan248
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 1,177
- 820
buddy Singapore vp leoImekaa vzr ... all the best Chief
buddy Singapore vp leoImekaa vzr ... all the best Chief
buddy Singapore vp leo
Msaada wakuu nataka kurudi premier bet nimesahau jinsi ya kudeposit natumia tigo pesa
Singapore ukiwapa ...
Warriors vs Young Lions (home team 2+ au I1+)
Hougang vs DPMM (GG)
... naona imekaa poa.
NATAKA KUSAFIRIA NYOTA ZENU HUMU NANI MPUNAJI HUMU
Click deposit chagua tigo...confirm ..watakupa reference number ... Namba ya biashara 500700 ....wakuu buddy na mtoto wa nzi msaada jamani
Mkuu hiyo option sielewi maana yake, nifafanulie kidogo
Kipindi cha kwanza mechi itoe 2+ alafu ashinde yeyote.Mkuu hiyo option sielewi maana yake, nifafanulie kidogo
Sio mimi nimetumiwa tu ila hongera sana kwa kumliza kanjiabai
Kipindi cha kwanza mechi itoe 2+ alafu ashinde yeyote.
Jaribu kuelezea unavoifahamu mkuu na wewe mana ni mpya kwa jinsi nilivosoma ndivyo hivyo nilivoelewa.View attachment 388249
mkuu sidhani kama upo sahihi,mfano hii metch uwezekano wa kupatikana goli 2 kipindi cha kwanza ni mkubwa na pia uwezekano wa yyt kushinda nao ni mkubwa
View attachment 388249
mkuu sidhani kama upo sahihi,mfano hii metch uwezekano wa kupatikana goli 2 kipindi cha kwanza ni mkubwa na pia uwezekano wa yyt kushinda nao ni mkubwa
Good very Good.....Hiyo option maana yake timu ya ugenini ishinde first half na kuwe na magoli ma2 na kuendelea . i.e. matokeo ya Half Time yawe 0-2, 1-2, 0-3 etc