Wakuu naombeni mnisaidie kuhusu hili swala ,
Juzi kati niliapa kuacha kubet lakini nikajisemea wacha leo nijikumbushe kumbushe nikalog in kwenye mbet nikaweka
Espanyol Win
Betis Draw
B.Munich -Win
Marsiele- Win
Nikataka kutuma pesa nikaghairi kwa uoga wa kuliwa 2000
Nakuja kucheki matokeo nakuta Betis 0-0, Marsiele 2-0, B.munich 6-0, Espanyol mpaka sasa mapumziko anaongoza goli 1 bila
Nikajifanya tapeli nikatuma hele ile nalog in kucheki kama imepokelewa nakuta tiketi imeandikwa Imvalid, Je watanirudishia au ndo imekula kwangu?