Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,535
Hapana mkuu wamenirudishia sasa hivi saa 4 asubuhi salio limerudi kama kawaida.Imekula pande yako mkuu.... Vigezo na masharti kuzingatiwa
Hapana mkuu wamenirudishia sasa hivi saa 4 asubuhi salio limerudi kama kawaida.Imekula pande yako mkuu.... Vigezo na masharti kuzingatiwa
Hapa vipi nataka nijilipue hivi
View attachment 388549
Nimeitoa hiyo game asije kula mtajiChief hiyo game ya Chelsea na Burniley nahisi haitakuwa na magoli mengi. Hiyo option inanipa mashaka kdg.
Arsenal jipu iloHapa vipi nataka nijilipue hivi
View attachment 388549
Dogo unabetie pesa ya Field? kuwa makini usije ukabetia ada.noma sana, hela yenyewe ya field magufuli katoa kimagumashi halafu kanjibai kaipiga karibu robo
Ukiweka katimu kamoja
Unapigwa ukiweka nyingi moja tu ndio yakuumiza
Ukiweka buku unapigwa
Ukiweka milioni unapigwa
noma sana, hela yenyewe ya field magufuli katoa kimagumashi halafu kanjibai kaipiga karibu robo
Aseee kumbe ni 9.6 odds .... Atatokewa mwehu hutoamini
Nimebadili upepo tu ndugu.....Mkuu leo umebetia kibandani? ...
wakuu, hadi leo meridian wanazingua mbaya...nimeamua kuhamia premier ila nimedoposit mpunga lakini bado haujasoma kwenye account. je inachukua masaa mangapi salio kusoma? mimi mgeni hapa.Meridianbet ni kizungumkuti bro ... shida sn hao jamaa. Mi kwa sasa nimejikita mkekabet ingawa wanaweka ligi na options chache kinoma,
Mbona mie meridian haizingui wakuuwakuu, hadi leo meridian wanazingua mbaya...nimeamua kuhamia premier ila nimedoposit mpunga lakini bado haujasoma kwenye account. je inachukua masaa mangapi salio kusoma? mimi mgeni hapa.
unatumia simu au pc? mimi natumia pc inanizingua kinoma...ila usiku wa manane nilivizia ikakubali.Mbona mie meridian haizingui wakuu
Natumia simu mkuuunatumia simu au pc? mimi natumia pc inanizingua kinoma...ila usiku wa manane nilivizia ikakubali.