Hii ni nini?mbona naona vitu vya hovyo hovyo!unatumia simu ganiHii imetoa [emoji91][emoji91]
Mkuu Joanah Mkeka umewini, ila ule wa juzi kuna mdau aliweka ada ya junior ndio maana kanji alipita nao.Odds 2,game mbili BP
9GLI1A8
🤣😃😀Balaaa🤣Hii ni nini?mbona naona vitu vya hovyo hovyo!unatumia simu gani
Vita ya kiuchumiVita dhidi ya kanji ngumu sana
Unanisema na nipo hapa!Mkuu Joanah Mkeka umewini, ila ule wa juzi kuna mdau aliweka ada ya junior ndio maana kanji alipita nao.
Kwema ndugu maafisa ubashiri?,
Kama kuna mtumiaji wa melbet hapa, naomba anijuze namna ya kutoa hela kutoka melbet. Kila nikijaribu kutoa kwa Airtel money naambiwa hivyo.
Ndio ni agent huyoHii ni kupitia agent au siyo?
Poa, nashukuru aiseeNdio ni agent huyo
Poa poa.Poa, nashukuru aisee
Unatumia mtandao gani wa simu kutolea pesa huko paripesa?Watu kweli wanalalamika sana kuhusu hii kampuni, ila kwa upande wangu haijawahi nifelisha kabisa, na mara ya mwisho nimetoa asubuhi tu
Kampuni iko sawa sanaUnatumia mtandao gani wa simu?
VodacomUnatumia mtandao gani wa simu kutolea pesa huko paripesa?
Jau sanaParipesa ni sawa na mwanamke mwenye matako makubwa laini yanachezacheza lakini ana UTI ya Tabata. Ukilala naye usije kusema shughuli imeisha.