Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Weka chuma tatu
 
Amini!, Amini ! Nawaambieni!.... hii mechi hapa chini👇 👇👇kabla jogoo hajawika mara tatu! ... Kuna jinsia ya kike humu ndani... itaiomba goli tatu!

Na wote watakaowekeza...watapata mara 3 walichokiomba!

Kama ni kilio..mara tatu!
Kama ni mavuno...mara tatu! 👇👇👇
 
Huyu Monaco huyu vipi? Mbona anataka kuharibu furaha mapema hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…