kaa chini
JF-Expert Member
- Jun 4, 2022
- 1,935
- 4,048
Taifa baada ya mechiHeeeh waliongea wapi haya mbona sjaona🤯
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taifa baada ya mechiHeeeh waliongea wapi haya mbona sjaona🤯
Maji hutoka mitoni kwenda bahariniMhhh kubeti kutawaua...
Mpaka Leo ...mjomba tangu tarehe 1 ... Bilabila ... Kama una mawasiliano nao naomba.Watu kweli wanalalamika sana kuhusu hii kampuni, ila kwa upande wangu haijawahi nifelisha kabisa, na mara ya mwisho nimetoa asubuhi tu
Hahaha mimi tokea tarehe 2, kila baada ya siku mbili natuma email. Wanataka mwanangu asiende shule hawa watuMpaka Leo ...mjomba tangu tarehe 1 ... Bilabila ... Kama una mawasiliano nao naomba.
MC Alger hawezi kufungwa na watu wanajichubua waleStarehe yangu moshi mimi 1000 tu kwa siku inantosha🤝
SawaMaji hutoka mitoni kwenda baharini
Yanii ila sawa..Maji hutoka mitoni kwenda baharini
Weka chuma tatuWadau za januari tulivu… Mimi kama jokeri wa kubeti leo naona kabisa TP Mazembe akishinda, na kwa maono hayo hayawezi pita hivi hivi hivyo basi nimeamua niweke dau la 1M fedha za kiTanzania kwenye keka langu ambayo malipo yake ni zaidi ya mil 10 after Tax. Wenye ndoto kama mimi ruksa kutia dau
View attachment 3197539
over 3.5 hiyo, dahNdio kwanza dakika ya 19View attachment 3198008
Imagine niliomba goli moja tu kwa leverkusenover 3.5 hiyo, dah
dah lazima ujilaumuImagine niliomba goli moja tu kwa leverkusen
Hata Mimi niliomba goli Moja tu!Imagine niliomba goli moja tu kwa leverkusen
Lille mnafanya nini uwanjani 🚮