Weka yanga ashunde.. simba ashinde au sare.. halafu kopa kabisa bank uwezo wako wote ikiwezekana hata weka bond chochote baadae utanishkuru😀Wakuu hizi game za Bravo vs Simba , na Al hilal vs Yanga, nipen link leo nataka niziangalizie kwa simu, au kama kuna namna yakuweza kuangalia kwa kustream kutumia simu nipen hayo maujanja
Download app ya cricify tvWakuu hizi game za Bravo vs Simba , na Al hilal vs Yanga, nipen link leo nataka niziangalizie kwa simu, au kama kuna namna yakuweza kuangalia kwa kustream kutumia simu nipen hayo maujanja
Mpaka dakika hii nyau nyauTotenam anazingua Leo,anaanza kuharibu mambo mapema
Nikiwaza kuwafata goli 3 ila nikaona Bora nicheze kadi 2.5 imetoaTotenam anazingua Leo,anaanza kuharibu mambo mapema
Dah ulicheza kama Pele,kwenye magoli na kushinda apa Ngoma ngumu hiiNikiwaza kuwafata goli 3 ila nikaona Bora nicheze kadi 2.5 imetoa
Imekula kwetu hiiMpaka dakika hii nyau nyau
Na mpiraaa umeisha mikeka9 yote imekwenda hapa sijui nilie kwa staili gani mana hela ya kula sina Dah kumamamakeeeerrreeeeee laki mbili shwaaa shenziiiiiiiii nzinzinziii nzinzii aah walah muhindi nakufa na njaa mwenyewe namba yake mwambie hata Teni tuu aniludishie nadaiwa mimi dahImekula kwetu hii
Zote zipo live SPORTYBETWakuu hizi game za Bravo vs Simba , na Al hilal vs Yanga, nipen link leo nataka niziangalizie kwa simu, au kama kuna namna yakuweza kuangalia kwa kustream kutumia simu nipen hayo maujanja
Kashonwa la.pili huko doh leo 🤣Feyernood over 2.5 inayeyuka shwaaaa ahahaha
Boss sijaona code leoZote zipo live SPORTYBET
Hata za Mida hii ukiiingia zinaonyeahwa
Bundle la Buku mbili tu utaona zoote MB zitatosha
Dah kubet saa nyingine ungese sana ,dah,katimu kama haka kweli kameisumbua totenam.Na mpiraaa umeisha mikeka9 yote imekwenda hapa sijui nilie kwa staili gani mana hela ya kula sina Dah kumamamakeeeerrreeeeee laki mbili shwaaa shenziiiiiiiii nzinzinziii nzinzii aah walah muhindi nakufa na njaa mwenyewe namba yake mwambie hata Teni tuu aniludishie nadaiwa mimi dah
KivipDkk 30 za mwanzo utajua unajua au utajua hujui