Shamba wap hapa nairobi kuna shamba kakaMali yapatikana shambani
Hakuna pesa bar unalipia nini mkuu rudi dimbaniLeo pesa hakuna, tukutane Bar
Meridian ipo?Nimeitafuta Leo Kila mechi ninayoifunghua sioni. Tutaitafutia meridian
KweliHapo swansea atachana pia
😆hivi wakishauchana dakika 15 za mwanzo muweka mkeka huwa anaendelea kufatilia gemu hadi mwisho?Dkk 30 za mwanzo utajua unajua au utajua hujui
Southampton ako poa lakn mpira una maajabu yake.ila una moyo hiyo odd ya psg nisingechukua ni ndogo mnoKweli
Wewe ashayakanyagq😄😄😄Mkeka uko vyedi kabisa,vuta subira kaka tuone mpaka mwisho itakuaje.
SawaMkeka uko vyedi kabisa,vuta subira kaka tuone mpaka mwisho itakuaje.
Arsenal na United wameniuwa ningeweka ggWewe ashayakanyagq😄😄😄
Inakuwa ndo imetoka hy😆hivi wakishauchana dakika 15 za mwanzo muweka mkeka huwa anaendelea kufatilia gemu hadi mwisho?
IpoMeridian ipo?
Hiyo under 2.5 inachanaje naona 2 biraUnafata odds 3 za Yanga inatoa! Unakuja kuchaniwa mkeka na odds 1.81View attachment 3200122