Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna mikeka mingine hata kushea tunaogopa maana tunauza nafsi haswa! Hapa nimemkosakosa odds 4 zimetoa, hizo 2.5 ndio zimegoma.
Sasa namfata second half.
 
Mmmmhh..... Una withdraw hela masaa mawili haifiki ... Hawa PARIPESA Sasa nataka kuamini ni wezi....sijawahi kukutana na kitu kama hichi kampuni zote nilizokuwa na akaunti nazo..tafadhalini mkimbieni huyu mshenzi PARIPESA...
Baada ya week mbili za kutuma emails wamerudisha kibunda, nimeweza kutoa tena. Sifanyi kazi tena na hao washkaji.
 
Ndugu zangu odds kubwa tusiogope namba tu, hazizidi hisia. Huyu mthenge man U nilimfata dakika ya 63 wakati tayari akiwa ameshapigwa kimoko.
 
Jana slip yangu hadi dakika ya 70 Man U alikua anaelekea kuirarua nikajikatia tamaa nikalala

Naamka asubuhi nakuta acc IMENONA πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…