Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

 
HONGERA mkuu
Nadhani utakua mkamalia wa kwanza duniani usiye na β€œtamaa” ambaye betting kwako ni RAHISI sana
Na utakua unamfumua kanji daily kwa kutokua na tamaa πŸ™
We sio mkamaria kamari na tamaa vitu viwili tofauti ata ushinde milion 500 utazirudisha ndani ya wiki ukiendekeza tamaa kamari dawa yake kushukuru unachokiona Sasa wewe unaona kabisa hii timu inatoboa unaongeza nyingine Ili ule nyingi hapo utasubiri sana
 
Huyu ukibahatika kuchungulia lost bet zake utamhurumia!, hapo katurishia hako alikobahatisha kwa kurisk elfu 90 akifukizia elfu 10. Aweke hapa mikeka aliyopoteza uone maajabu ya muhindi

NB: Achaneni na kamari wakuu, hii kitu ni adui wa uchumi wako.
 
Ndio maana nimekupa HONGERA mkuu
Wewe ni MKAMALIA BORA kabisa Duniani
 
Maneno yote haya ni ile 16,000 uliyokula? πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…