Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Maneno yote haya ni ile 16,000 uliyokula? πŸ˜‚
 
Sportybet


Code : 82ADC9

Kama utamtaji weka Tshs 3500/= kesho uibuke millionaire

Mimi nimekosa mtaji tu jana baada ya mikeka kuchanika nikaamua kubet game ya Getafe vs Barcelona ili nikuze kibubu kwa kumpa Barcelona apate magoli mawili πŸ˜” laki mbili zote zikaenda na maji na kubakiwa na tshs 20 tu tena ni ya free gift


Mkeka ukitiki usinisahau hata ya vocha kesho 🀲
 

Attachments

  • Screenshot_20250119-114051.png
    74.6 KB · Views: 4
Tuone ujumbe unapata sehemu kama hii baada ya kuwithdraw. Bofya hapo ( Find out reason for refusal )
nilisajiri kwa lain ya tigo ila siku naweka hela nikatumia lain ya halopesa sasa nikitoa kwa kitumia halopesa inaniandkia aproved ghe baada ya dk 3 hela inarud kwende id shida n nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…