Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Simba wote watamu
Screenshot_20250119-182117_Megapari.jpg
 
Aisee nimeokota code ina odds 157 kwa wanigeria nikaweka 250 tu aiseeee kiutani mkeka unakaribia kutiki aiseee ningetia hata buku mie
 
Attachments

  • Screenshot_20250119_224508_SportyBet.jpg
    Screenshot_20250119_224508_SportyBet.jpg
    153.9 KB · Views: 4
Nilikuwa naangalia hapa live chart za mechi sportberty hawa wanaijeria wanachekesha Yan mechi iko live mechi ya inter anaongoza goli moja wanavyoomba goli la pili litokee 😂😂 home one goal abeg oooo, Another goal please oohh Lord 😂 mara Why always me God please save me 😂 ***** hii betting inaweza kukupa kichaa! Inter alipofunga goli la pili nasoma comments Zao wanacheka tu na Thanks Lord nyingi, wengine Won zinamiminika tu! Yan betting sio rahisi hata umle kanji Yan unamla ila jasho la matako linakuwa lishakutoka 😂😂😂
 
Wanaijeria na Afrika Magharibi wanzingua. Wanamhusisha MUNGU kwenye kamari. Hii tabia inanikera sana.
 
Back
Top Bottom