The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
😅😅😅Wanaijeria na Afrika Magharibi wanzingua. Wanamhusisha MUNGU kwenye kamari. Hii tabia inanikera sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅Wanaijeria na Afrika Magharibi wanzingua. Wanamhusisha MUNGU kwenye kamari. Hii tabia inanikera sana.
View attachment 3206029
CHINA 🏀🏀, LUNCH TICKET ✅
Code: MME9E
Site: PariPesa
Jisajili PariPesa Hapa 👇
https://cutt.ly/hwKXFbXz
https://cutt.ly/hwKXFbXz
Promo Code: TIPS2424
Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya 300,000 Bure Ukijiunga Na Kudeposit. .
Tumia betika, huko hawajui habari za cashout. Unakufa na tai yako shingoni.Nipeni mbinu niachane na kitu kinaitwa cashout, naichukia sana cashout wakuu.
Umechanganya madaKuna member hapo juu anauliza Hiyo 180 ulikuwa nayo?
🤣🤣🤣🤣🤣Aisee usiku wa Jana nikipata kidonda ambacho hakitapona milele nimecashout laki na 80 baada ya kuona timu yangu niliyoibetia imefungwa aisee baadae jamaa wakarudisha na timu nyingine ailizobako zote zimeshinda nilikua nishinde milion 12 aisee naombeni kampuni ambayo aina cashout wakuu mods naombeni msiunganishe huu Uzi
Sijakuelewa mkuu iligoma kivipi cashoutMimi nikiweka mkeka nmeweka ni aidha uchane au uwin, cashout niliacha kipind fulan nacash out 11m ikagoma nilikua nile 48m
Asante mkuuPole sana
Mbona unacheka🤣🤣🤣🤣🤣
Bora wewe ulipata angalau 25%. Mimi mkeka odds 400 nilicash out stake tu. Baada ya kucash out tu magoli yakaanza kuingia kama walikuwa wananisubiria mimi.Mimi nikiweka mkeka nmeweka ni aidha uchane au uwin, cashout niliacha kipind fulan nacash out 11m ikagoma nilikua nile 48m
Ndio huwa hivyo mara nyingiBora wewe ulipata angalau 25%. Mimi mkeka odds 400 nilicash out stake tu. Baada ya kucash out tu magoli yakaanza kuingia kama walikuwa wananisubiria mimi.