Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Vipi game yao itatoa goal 3?
Kuna hesabu za shule ya msingi
Screenshot_20250119-204041_Chrome.jpg
zinasema tafuta namba inayofuata
 
nasson classic Hapo jibu moja lenye nguvu ni kuwa kuna tatizo la kiufundi kwenye mfumo wa malipo kupitia hiyo njia.

Je, nini cha kufanya?
Deposit kwa kwa mtandao mwingine, beti stake yote kwa odds zaidi ya 1.10 kisha anza kutoa.

Ikigoma inabidi tujiridhishe kama hiyo shida ipo kwako tu au na kwa watu wengine? Mtafute mtu anayetumia kampuni hiyo, afanye kama wewe na isipotoka tutakuwa na hakika kwa 100% kwamba ni mfumo ndio tatizo.

Ikitoka itakuwa ni case yako binafsi.
Itabidi uandike email kitengo cha security watakurekebishia kisha utatoa kwa njia unayotaka wewe ila kwa sharti kudeposit kwanza kisha unawatumia statement.

Mimi ilitokeaga 1xbet ilikuwa inataka nitoe kwa wakala mmoja tu haijalishi nimedeposit kwa wakala gani au kwa mtandao wa simu, baada ya kuwaandikia email wakanipa hayo maelekezo nikatoa kwa simu halafu nikahama mazima.
 
uko vizuri mkuu
Mkuu leo nilikuwa na bahati ila kuna roho ya uoga imeniponza.
Kuna mkeka huu hapa ulikuwa na odds 13 nilibeti kwa buku kwa kujua huu utaliwa tu. Wakati natoka nikabet tena kwa quick bet kwa bahati mbaya kwa dau la 15,000 kama linavyoonekana hapo.

Nikafikiria kwa kina niuache tu au ni-sell maana bei ilikuwa 11,250 na mechi hazijaanza yaani tayari nishakula hasara.
Nikaogopa nikau-sell. Lakini matokeo yake umewin, nimesikitika sana.
Screenshot_20250121-014205_888starz.jpg
Screenshot_20250121-014221_888starz.jpg
kwa hiyo nimeambulia 13,000 tu ka mkeka niiobeti kwa buku wakati huu ilikuwa inakuja 190,000+
 
View attachment 3207447
3 ODDS BET OF THE DAY

Code: GAJA3

Site: PariPesa

Jisajili PariPesa Hapa 👇

https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code: TIPS2424

Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya 300,000 Bure Ukijiunga Na Kudeposit.
i7e2me.jpg

BOOOOMMMM ✅✅✅✅🏆
✅✅✅🔥🔥💰💰✅✅

1.5 MILLION WON ✅✅✅✅

Jisajili PariPesa Hapa 👇

https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code👉 TIPS2424

Telegram Kayombo Tips ⚽🥎🏈🎾🎱🏀
 
Back
Top Bottom