Mjukuu wa Tambi nyami
Member
- Nov 10, 2024
- 58
- 97
Esperance de ufala
Mimi nimempa draw or gg sijui.atatoa?Mwanangu anatoboa hii game, tutarudi hapa
wakiwekwa kwenye treni la game 2 si tunapata hata odds 100?Msimu huu
Galatasaray
Man u
Man city
Tottenham
Bournamouth
Alhly Egypty
Madrid Real
Yaani wanatoa tu gg
Saa saba ipi mkuu 😂😂Tukutane saa 7
Saa 7 usiku muda wa mahesabu, game zote za UEFA zitakuwa zimeishaSaa saba ipi mkuu 😂😂
Usiku mwema wawekezaji nadhani matokeo mmeyaona psg 4 man city 2Kushinda vimechi viwili Visitufanye tumuamini man city Yan leo anapasuka vibaya hata droo hatoi mbele ya psg
Saa 7 imefikaCity
Win 2.80 odds (85%)
win or draw 1.54 odds (100%)
over 1.5 goals 1.81 odds (90%)
tukutane saa 7 usiku
nmejaribu wap now natafuta kama kuna wakala wa linebet tyuuUmewaandikia email hawajakusaidia?
View attachment 3210073