Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Umechanganya madaKuna member hapo juu anauliza Hiyo 180 ulikuwa nayo?
🤣🤣🤣🤣🤣Aisee usiku wa Jana nikipata kidonda ambacho hakitapona milele nimecashout laki na 80 baada ya kuona timu yangu niliyoibetia imefungwa aisee baadae jamaa wakarudisha na timu nyingine ailizobako zote zimeshinda nilikua nishinde milion 12 aisee naombeni kampuni ambayo aina cashout wakuu mods naombeni msiunganishe huu Uzi
Sijakuelewa mkuu iligoma kivipi cashoutMimi nikiweka mkeka nmeweka ni aidha uchane au uwin, cashout niliacha kipind fulan nacash out 11m ikagoma nilikua nile 48m
Asante mkuuPole sana
Mbona unacheka🤣🤣🤣🤣🤣
Bora wewe ulipata angalau 25%. Mimi mkeka odds 400 nilicash out stake tu. Baada ya kucash out tu magoli yakaanza kuingia kama walikuwa wananisubiria mimi.Mimi nikiweka mkeka nmeweka ni aidha uchane au uwin, cashout niliacha kipind fulan nacash out 11m ikagoma nilikua nile 48m
Ndio huwa hivyo mara nyingiBora wewe ulipata angalau 25%. Mimi mkeka odds 400 nilicash out stake tu. Baada ya kucash out tu magoli yakaanza kuingia kama walikuwa wananisubiria mimi.
Betpawa hoa ilinikatalia nikaamua niachane nao ikaja chana timu moja ya sweden ligi daraja la 3Sijakuelewa mkuu iligoma kivipi cashout
Kama ulivyosema mkuu sociedad kashindwa kutoa goli 2Humu wamejaa watu wenye Macho ya Husda , Usishangae timi zilizobaki zikachna
Chelsea huyu zisizo na uhakika siku hizi nazipa droo or gggLeo chelsea atapigwa
Vipi game yao itatoa goal 3?Leo chelsea atapigwa
3 sina uhakika labda 2 uhakikaVipi game yao itatoa goal 3?
Poa poa3 sina uhakika labda 2 uhakika
Haya mateam ya Australia yanatoa sana over 2.5
Macarthur FC - Wellington Phoenix
Oya mkuu nipe kazi hapo shambani kwakoNgoja niandae Mkeka Wa Mchana Kwenye PariPesa Halafu Niendelee Na Kazi Ya Kuinulia Viazi Hapa. Juma tatu tulivu hii. Mwezi Ujao Nachimbua Hela Hapa. Tuendelee kupambana wakuu
View attachment 3207037