Hizi shida mbaya sana usiombe umeshinda alafu uliweka pesa ya watoto majamaa yanaanza kuuliza NIDA Iko wapi kwenye profileKipigo ni kipigo tu
Kuhama kampuni haisaidii zaidi ataenda kukutana na zile shida za kuwithdraw akishinda
Hii nimeichelewaAD83A5 nimeweka mechi karibia zote za leo SB zitoe goli moja kabla ya HT
Genoa na Monza naona wanataka kuharibuHii nimeichelewa
Cash out hapo hukosii hata ya supuGenoa na Monza naona wanataka kuharibu
Nilicash dk za jioni sana daah japo si habaCash out hapo hukosii hata ya supu
Hongera sana MkuuNilicash dk za jioni sana daah japo si haba
AsanteHongera sana Mkuu
Sheria yangu ni hii! Nikiona mkeka si uwelewi na cash out ni kubwa kuliko stake naipita nayo
Hata kama sijatengeneza fedha ndefu ila ninachokataa ni hasara
Hiyo I'd yako Mkuu ya Legal officer imenikumbusha mbali sana.Asante
Aminaaa ...waapi mkuu?ama umesomea Sheria?Hiyo I'd yako Mkuu ya Legal officer imenikumbusha mbali sana.
Ila Bwana apewe sifa
Hapana Mkuu! Story ni ndefu sana ilaAminaaa ...waapi mkuu?ama umesomea Sheria?
Hahaaa pole Kwa kilichokukuta Ila mi si mchaga..nitakuhudumia Kwa weledi ndugu yanguHapana Mkuu! Story ni ndefu sana ila
Jina la Bwana lipewe sifaa! Ila ma legal officer Mungu anawaona Tena wasiwe WACHAGA
Sawa MkuuHahaaa pole Kwa kilichokukuta Ila mi si mchaga..nitakuhudumia Kwa weledi ndugu yangu
View attachment 3215695
BET OF THE DAY β
Code: A2TMM
π―Pata 300,000 Bure Ukijisajili Na Kuweka Promo Code TIPS2424.
Jisajili PariPesa Hapa π
https://cutt.ly/hwKXFbXz
https://cutt.ly/hwKXFbXz
Promo Code: TIPS2424
Jiunge Telegram π https://t.me/+ov-lQGkvBC9mNWU8
Hapana..Mnakimbia kimbia sana
Bila shaka ni wapigaji hawaHapana..
Nimeona kuna mahali wanaweka correct score kila siku na zinatoa sawa sawa...
Ajabu ni kuwa hizo games zipo flashbet tu , makampuni mengine hazipo..π
Sasa ndo nikawaza hii kampuni ni legit kweli?
Mbona kama ya ajabu