Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kipigo ni kipigo tu
Kuhama kampuni haisaidii zaidi ataenda kukutana na zile shida za kuwithdraw akishinda
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†Jamaa wanatoa correct score za kazakhstan sijui armenia ndani ndani huko halafu zinatoa sahihi kabisa
Ajabu hizo games ukizitafuta makampuni mengine huzikutii, zipo kwenye hiyo kampuni ya flashbet tuπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Temana nao tukomae huku huku.
 

Mmmh πŸ˜†πŸ˜†
 

BOOOOMMMM βœ…βœ…βœ…βœ…πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†
βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…πŸ”₯πŸ”₯πŸ’°πŸ’°βœ…βœ…

1.1 MILLION WON βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…

Jisajili PariPesa Hapa πŸ‘‡

https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo CodeπŸ‘‰ TIPS2424

Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya Asilimia 200%
 
Mmmh πŸ˜†πŸ˜†

Sasa game ya leo ni hii hapo kwenye ki ligi gani sijui cga italy huko..
Inachezwa baadae saa 3
Ajabu tutakuta nayo imetoa sawasawa
🀣🀣

Sasa huyu mbongo anaepromote sijui anapata faida gani
Maana najua ni kama scams hao
 
Bila shaka umewapiga piga maana kwingine hakuna
 
Huyo anaye promote yupo WhatsApp au Telegram?

Nimeicross check hiyo Flash bet ni kweli hilo game lipo.

Pia nimetafuta hizo Team Online ni kweli Timu za Italy lakini ni vitimu vidogo sana, just imagine ligi wanayocheza inaitwa SERIE E, Girona/Group A. Kwenye kampuni zingine za betting hamna hii ligi.

Kuhusu Correct score hili jambo lipo lakini linafanywa kwa usiri mkubwa sana kwenye timu kubwa, hivyo ni rahisi kufanyika kwa vitimu vidogo vidogo kama hivi maana ndio ulaji wao sababu hili jambo linahusisha pande zote (makocha, wachezaji, mafera)

Nipe connection ya huyo jamaa anaye promote nikaone hali halisi.

NB: Correct score/ sure bet huwa zinatumiwa sana kwenye utapeli, hivyo ukitaka kufukizia hizi mambo jua kuwa unaweza kutapeliwa nje nje
 
Ingekuwa kweli basi hao flashwin wangefilisika ndani ya week tu
Maana correct score zotee zinatoa win tena ni kila siku

Yani wakamalia wote wangehamia huko kuvuna 'pesa za kiulaini'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…