Superficial
JF-Expert Member
- Nov 25, 2023
- 232
- 471
EE21D28 sporty bet
Edited tayari 💪
Edited tayari 💪
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Mtuwekee code mlizotafuta kwa mioyo yenu yote na roho zenu zote bila tamaa zozote mimi nahitaji odd 5 tu mwanqngu anataka kulipia mahali jmosi kapungukiwa 250k
Nitaleta code by 06:20 pm usiwaze
Sawa Mkuu!Nitaleta code by 06:20 pm usiwaze
NishaogopaBack to the business
DIGESTION YA LEO
Mambo ya kuzingatia kwa wazee wa DIRECT WIN
Aston Villa Vs Celtic
Wote wamefuzu kwenye knock out stage ya 9 hadi 24...... LAKINI Villa akishinda ana nafasi nzuri zaidi ya kwenda 8 Bora wa juu yao wakivurunda
Barca Vs Atalanta
Barca kafuzu 8 bora, Atalanta ili awe na UHAKIKA wa 8 bora ni LAZIMA amfunge Barca
Leverkusen Vs Sparta
Leverkusen ili afuzu 8 bora ni LAZIMA apate matoke vinginevyo anaweza kuangukia kwenye knock out stage, Sparta has nothing to lose or gain
Bayern M Vs Slovan
Bayern kafuzu knock out stage ya 9-24, akishinda asubirie miujiza kuingia 8 bora,
Slovan has nothing to lose or gain
Dortmund Vs Shaktar
Dortmund kafuzu knock-out stage ya 9-24 akishinda labda miujiza ndio itampeleka 8 bora
Shaktar ana wastani mbaya wa magoli hata akishida
Zagreb Vs Milan
Ili Milan awe na UHAKIKA wa 8 bora ni LAZIMA ashinde vinginevyo ategemee miujiza
Zagreb akishinda aombee miujiza itokee ili kufuzu knock out stage ya 9-24
Salzburg Vs Atletico
Ili Atletco awe na UHAKIKA wa 8 bora ni LAZIMA ashinde
Salzburg has nothing to lose or gain
Girona Vs Arsenal
Asenal ni kama vile kashavuzu 8 bora kwa wastan mzuri wa magoli
Girona hana cha kupata wala kupoteza
Inter Vs Monaco
Inter naye ni kama shafuzu 8 bora akiwa na wastani mzuri wa magoli.
Monaco akishinda atakua kajitenenezea mazingira mazuri ya 8 bora iwapo wa juu yake wakichemka
Juve Vs Benfica
Juve kafuzu knock out stage 9-24 ila akishinda miujiza inaweza kumpeleka 8 bora wajuu yake wakichemka
Benfica ili awe na HUHAKIKA wa knock out stage inabidi apate matoke
Lile Vs Feyenoord
Hawa wote wamevuzu knock out stage LAKINI atakaye shinda anaweza kubahatisha kwenda 8 bora iwapo wa juu yao watachemka
Man City Vs Brugge
Man U ni LAZIMA ashinde ili kwenda knock out stage
Brugge anahitaji DRAW tu ili afuzu knock out stage
PSV Vs Liverpool
Liverpool kashafuzu 8 bora
PSV ni kama amekwisha fuzu knock out stage kwa idadi nzuri ya wastani wa magoli
Stade Vs Madrid
Wote wamefuzu knock out stage, ni miujiza pekee itakayo mpeleka Madrid 8 bora akishinda
Stuttgat Vs PSG
Wote ni kama wamefuzu knock out stage kwa wastani mzuri wa magoli dhidi ya Shaktar anayewafukuzia na wastani mbovu wa magoli
Young boy Vs Crivena
Hawa wote wamejichokea wanakamilisha ratiba tu
Sturm Vs Leipzing
Hawa nao hoi wanakamilisha ratiba tu
Kazi kwako
Wafuate mazima Leverkusen, Man City na MadridNishaogopa
Yeah hi kweli kabisaNB! Kua makini na timu zilofuzu zitaweka kikosi mcheke uanze kulalamika....
BC0239 Sportbety. Luka nayo hii kesho tuamkie supu nzito.