Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Weka mzigo hapa kama una sport bety , source code weka ghana
Screenshot_20250129-203634.png
 
Narudia tena direct win itakuferisha leo! We tia magoli tu leo watu watafunga na kama mvua na siku kama leo huwa haijirudii kwa miaka mingi sana hivyo kama una buku tano chukua timu 7 weka over 2.5 halafu subiri hela wala usihangaike kuchambua we weka tu maana zote leo zitatoa over
 
Ilitokea mwaka jana mwezi wa tisa kanji alipigwa vibaya mno.
 
Naona game ya Bayern kanji kakaa kitaalamu. Inaonekana kuna idadi kubwa ya watu wamebeti idadi kikubwa ya magoli imepelekea odds kupunjwa sana. Acha niruke nayo live.Liwalo na liwe
 
Back
Top Bottom