Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimefanya hili liwalo na liwe2.5 over kwa game zooote
Ilitokea mwaka jana mwezi wa tisa kanji alipigwa vibaya mno.Narudia tena direct win itakuferisha leo! We tia magoli tu leo watu watafunga na kama mvua na siku kama leo huwa haijirudii kwa miaka mingi sana hivyo kama una buku tano chukua timu 7 weka over 2.5 halafu subiri hela wala usihangaike kuchambua we weka tu maana zote leo zitatoa over
Hahahaaa walio stake highWakuu mmepania sana leo
Muda wa matusi ni ule ule saa saba usiku ama tukutane asubuhi kabla ya kupiga mswaki?