Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
milan nilimpa dc, sporting nilimpa ashinde, juve nikampa dc,Asiwadanganye mtu kanjibai analika vizuri sana ikiwa ni siku yako! Leo siku imeenda vizuri kidogo japo nimecash out mikeka mitano yote nimepata kahela si mbaya kuliko kuliwa kabisa kila siku nashukuru kwa kidogo cha leo! Ila kama ni magoli leo yametoa jamani mchawi ni sisi tu
Leo sijadeal na ushindi Yan nimeweka magoli tu huwezi amini mpaka mikeka mingnine nimeweka over 3.5 goals na imetoa leo ilikuwa ni siku nzuri kwa magolimilan nilimpa dc, sporting nilimpa ashinde, juve nikampa dc,
maajabu ni kwamba hao watatu walikua mikeka 3 tofauti, zingine zote zimetiki ila hao wajinga tu.......
mkeka aliochana sporting niliwapa direct win psg, dort, lile, psv, city, madrid, atletico ..odds zilikua karibu 80!
anyway, ilikua siku mbaya kazini
Noma sanaMpaka hizi za kubahatisha zimetoa leo
Back to the business
DIGESTION YA LEO
Mambo ya kuzingatia kwa wazee wa DIRECT WIN
Aston Villa Vs Celtic
Wote wamefuzu kwenye knock out stage ya 9 hadi 24...... LAKINI Villa akishinda ana nafasi nzuri zaidi ya kwenda 8 Bora wa juu yao wakivurunda
Barca Vs Atalanta
Barca kafuzu 8 bora, Atalanta ili awe na UHAKIKA wa 8 bora ni LAZIMA amfunge Barca
Leverkusen Vs Sparta
Leverkusen ili afuzu 8 bora ni LAZIMA apate matoke vinginevyo anaweza kuangukia kwenye knock out stage, Sparta has nothing to lose or gain
Bayern M Vs Slovan
Bayern kafuzu knock out stage ya 9-24, akishinda asubirie miujiza kuingia 8 bora,
Slovan has nothing to lose or gain
Dortmund Vs Shaktar
Dortmund kafuzu knock-out stage ya 9-24 akishinda labda miujiza ndio itampeleka 8 bora
Shaktar ana wastani mbaya wa magoli hata akishida
Zagreb Vs Milan
Ili Milan awe na UHAKIKA wa 8 bora ni LAZIMA ashinde vinginevyo ategemee miujiza
Zagreb akishinda aombee miujiza itokee ili kufuzu knock out stage ya 9-24
Salzburg Vs Atletico
Ili Atletco awe na UHAKIKA wa 8 bora ni LAZIMA ashinde
Salzburg has nothing to lose or gain
Girona Vs Arsenal
Asenal ni kama vile kashavuzu 8 bora kwa wastan mzuri wa magoli
Girona hana cha kupata wala kupoteza
Inter Vs Monaco
Inter naye ni kama shafuzu 8 bora akiwa na wastani mzuri wa magoli.
Monaco akishinda atakua kajitenenezea mazingira mazuri ya 8 bora iwapo wa juu yake wakichemka
Juve Vs Benfica
Juve kafuzu knock out stage 9-24 ila akishinda miujiza inaweza kumpeleka 8 bora wajuu yake wakichemka
Benfica ili awe na HUHAKIKA wa knock out stage inabidi apate matoke
Lile Vs Feyenoord
Hawa wote wamevuzu knock out stage LAKINI atakaye shinda anaweza kubahatisha kwenda 8 bora iwapo wa juu yao watachemka
Man City Vs Brugge
Man U ni LAZIMA ashinde ili kwenda knock out stage
Brugge anahitaji DRAW tu ili afuzu knock out stage
PSV Vs Liverpool
Liverpool kashafuzu 8 bora
PSV ni kama amekwisha fuzu knock out stage kwa idadi nzuri ya wastani wa magoli
Stade Vs Madrid
Wote wamefuzu knock out stage, ni miujiza pekee itakayo mpeleka Madrid 8 bora akishinda
Stuttgat Vs PSG
Wote ni kama wamefuzu knock out stage kwa wastani mzuri wa magoli dhidi ya Shaktar anayewafukuzia na wastani mbovu wa magoli
Young boy Vs Crivena
Hawa wote wamejichokea wanakamilisha ratiba tu
Sturm Vs Leipzing
Hawa nao hoi wanakamilisha ratiba tu
Kazi kwako
sina hamu tenaa ya kutumia betpawa wameniudhi sanaa janaaabetpawa wekeni sawa system tujue mikeka bado ipo au tunaanza upya kesho
Walizingua sana jana ila matreni yangu Leipzig alipita nayosina hamu tenaa ya kutumia betpawa wameniudhi sanaa janaaa
bora nikomae na SP kuliko hawa wapuuzi wanaofanya update ya app alafu wanaleta mambo ya hovyo ,huwezi amini game 14 zilitiki kati ya 18 alafu wakafunga mtandao then game zimeisha mtandao ukawa sawa nikakuta juve na young boys tu ndio wamezingua kupata goliWalizingua sana jana ila matreni yangu Leipzig alipita nayo
Dah jana ilikuwa mizinguo sanabora nikomae na SP kuliko hawa wapuuzi wanaofanya update ya app alafu wanaleta mambo ya hovyo ,huwezi amini game 14 zilitiki kati ya 18 alafu wakafunga mtandao then game zimeisha mtandao ukawa sawa nikakuta juve na young boys tu ndio wamezingua kupata goli
kinomaa na ilikuwa siku ya kanji kuliaDah jana ilikuwa mizinguo sana
Yeahkinomaa na ilikuwa siku ya kanji kulia
Ulichukua odd 73 hapa au uliishia kulikeKuvuja kwa pakacha
Sb B43C75
mapambano yaendeleeYeah
lazima tumkaziemapambano yaendelee
kabisaaaa mkuulazima tumkazie