Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Kwahiyo Barca anataka kufanyaje? Kanji tuachie leo mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wapumbavu kweli betpawa nitakuja niwakimbiebetpawa rekebisheni system hiyo mpasuke vizuri. Mnanipa ushindi na mkeka niloshinda sioni. REKEBISHENI FASTA, nimesema!
Dah hapo umejichanganya pakubwa sanaHamna siku nalala vibaya kama leo kweli cashout ni wizi yani nimechukua elfu 55 nikaacha laki saba na mkeka umetiki first half Yan nimeumia sana 😭
Dah hii game ya sporting Kuna goli tatu apa Leo kwelisporting, juve na milan wanataka nishindwe kulala......
waache upumbafu wao
Yamenikerahaya mashkaji mawili ndiyo yanaona tutafaidi yakitoa over 1.5
Leo ilikuwa siku ya kulaAsiwadanganye mtu kanjibai analika vizuri sana ikiwa ni siku yako! Leo siku imeenda vizuri kidogo japo nimecash out mikeka mitano yote nimepata kahela si mbaya kuliko kuliwa kabisa kila siku nashukuru kwa kidogo cha leo! Ila kama ni magoli leo yametoa jamani mchawi ni sisi tu
Yamezingua kinoma. Sio mbaya team nyingi zimejitahidi kuutupia magoalYamenikera