Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Na leo ni mwendo wa over 2.5 tu maana Europa huwa ni ngumu sana timu nyingi zinalingana uwezo hvyo direct win ni hatari bora niweke timu itoe over 3.5 halaf isitoe niliwe kuliko kuipa timu ina odd 1.24 ushindi halafu ifungwe
 
Oya wazee jana UCL timu 16 first half zilitoa goli. Leo nataka ni-test mitambo mechi 18 over 0.5. Vipi kuna uwezekano wa kupiga pesa hapa?
Weka hela hapo halafu kaa karibu na cashout yako maana wanaweza kutoa hata timu 14 na mbili zisitoe hivyo weka mzigo tulia ingalia cashout ndo kanji tunamla hivyo maana ni mchungu kama pilipili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…