Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Screenshot_20250201-180036.png
Screenshot_20250201-180113.png
 
Leipzig anaenda na majambo yangu yote fuc***n.....yaan kanji ananiponyoka
tabu nyingine mnajitakia tu mnabet majina makubwa ya timu..Liepzg fomu yake mbovu kabisa msimu huu hasa akiwa ugenini ndio hafai kabisa yupo kama Man Utd tu..lakini nyie wabishi mnae tu msipomuacha kumbetia huyo mtalia kila siku anawachania mikeka kwanini hamjifunzi.!
 
Back
Top Bottom