Hapana ilibakia chenji nikawa nasafisha akaunti ili nianze upya.Unafatilia hii mechi mkuu?
Hii mechi kuna goli la wolves2 half maana villa wanaonekana kuchoka labda uchovu wa uefa .katikati ya wikiWazee wa live mnaionaje hii
View attachment 3221568
Poa poaHii mechi kuna goli la wolves2 half maana villa wanaonekana kuchoka labda uchovu wa uefa .katikati ya wiki
HahahaMuwe makini na madrid leoView attachment 3221612
Asante Griezman wewe ni GOAT@DiegoSimeone tunakufuatilia ujue, hatujacash out. Kama hutaki kufanga, ruhusu kufungwa
Bora nilimbetia live nikamuwekea buku 5 tu, lasivyo angeenda na mtaji wanguLeipzig anaenda na majambo yangu yote fuc***n.....yaan kanji ananiponyoka
Tisha mkuu imetickHii mechi kuna goli la wolves2 half maana villa wanaonekana kuchoka labda uchovu wa uefa .katikati ya wiki
tabu nyingine mnajitakia tu mnabet majina makubwa ya timu..Liepzg fomu yake mbovu kabisa msimu huu hasa akiwa ugenini ndio hafai kabisa yupo kama Man Utd tu..lakini nyie wabishi mnae tu msipomuacha kumbetia huyo mtalia kila siku anawachania mikeka kwanini hamjifunzi.!Leipzig anaenda na majambo yangu yote fuc***n.....yaan kanji ananiponyoka