safi sana mkuu unatupa hamasa sana..ila itakuwa poa sana ukishare humu kabla ya mechi kuanza kuliko kuleta mkeka baada ya kuwon na hapo ndio kelele za Editing zinapoanzia..pia huyo jamaa wa twitter wa stake millioni 17 unaweza tupostia mkeka humu kabla..si unajua wengi hatuna acess na twitter kwa simu zetu hizi za kubabaisha itakuwa poa sana mwanetu.Uko sahihi kabisa mkuu, hata huyo jamaa niliyemtaja hapo analost na kuwin kama ilivyo desturi ya kamari, huwa nafuatilia odds zake
Lakini intention yangu ni kuwa hii kitu inataka mtaji mkubwa halafu ukitafuta hizo odds chache za uhakika inakuwa na chance kubwa ya kuboom ukilinganisha na odds nyingi ambazo zina chance ndogo ya kuboom
Kuhusu kuedit mkeka ili uonekane umeboom, kwa watu ninaofuatilia odds zao sijaona waedit, akilost naona amelost, akiboom pia naona kaboom, kwani mechi nakuwa nazifuatilia mwenyewe.
Binafsi nimeanza kutafuta Odds 2 na kuweka hela ninayoona ninaweza kuipoteza, nawin na kulost kama kawaida.
Jana nilitafuta Odds nikaweka 100k nikawin kama unavyoona hapo
Sawa mkuu.safi sana mkuu unatupa hamasa sana..ila itakuwa poa sana ukishare humu kabla ya mechi kuanza kuliko kuleta mkeka baada ya kuwon na hapo ndio kelele za Editing zinapoanzia..pia huyo jamaa wa twitter wa stake millioni 17 unaweza tupostia mkeka humu kabla..si unajua wengi hatuna acess na twitter kwa simu zetu hizi za kubabaisha itakuwa poa sana mwanetu.
Noma sana mkuuSawa mkuu.
Kwa leo nina hii mikeka 2 ya odds 2 Sportybet
Code: D03F3B
Code : 0F17C0
Ila sijastake kabisa stake niliyoweka ni ndogo kabisa, ila wewe unaweza kujilipua.
Options nilizoweka ni 1st half under 2.5 na over 0.5 kwa timu mbili tu.
NB: Huwa nachagua timu ambazo hazichapani magoli mengi kwa kuangalia records kadhaa za nyuma.
Unakuta timu zinatoa goli 2 au 3 kwa Full time, so hapo lazima under 2.5 1st half itoke japo kuchana kupo kama kawaida.
Jamaa wa Twitter tayari kashapost mkeka na unaendelea kuchanja mbuga.
Tunakaribia kufunga hesabu...bado mechi tatu ili iboomView attachment 3223387
BASKETBALL ON PARIPESA 🏀🏀
Code: RX9GT
Pata 300,000 Bure Ukijisajili Na Kuweka Promo Code TIPS2424.
Jisajili PariPesa Hapa 👇
https://cutt.ly/hwKXFbXz
https://cutt.ly/hwKXFbXz
Promo Code: TIPS2424
Ndiyo, tuombe matokeo yatoke kama tulivyo BetTunakaribia kufunga hesabu...bado mechi tatu ili iboom
Huo mkeka ndo inatakiwa kuweka hapaacha sifaSawa mkuu.
Kwa leo nina hii mikeka 2 ya odds 2 Sportybet
Code: D03F3B
Code : 0F17C0
Ila sijastake kabisa stake niliyoweka ni ndogo kabisa, ila wewe unaweza kujilipua.
Options nilizoweka ni 1st half under 2.5 na over 0.5 kwa timu mbili tu.
NB: Huwa nachagua timu ambazo hazichapani magoli mengi kwa kuangalia records kadhaa za nyuma.
Unakuta timu zinatoa goli 2 au 3 kwa Full time, so hapo lazima under 2.5 1st half itoke japo kuchana kupo kama kawaida.
Jamaa wa Twitter tayari kashapost mkeka na unaendelea kuchanja mbuga.
👏👏Ndiyo, tuombe matokeo yatoke kama tulivyo Bet
Husifanye hivyo code za umu nyingi ni ngumuNajua sasa kubet nachukua humu code ama najibonyezea Tu😀😀😀
Kuna wiki za kula pesa mfano Jpili ya jana pesa zilikua nje njeNajua sasa kubet nachukua humu code ama najibonyezea Tu😀😀😀