Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah bora leo nilichukua break baada ya kuondoka na mtaji wangu jana. Game zote nilizobeti kwa macho matokeo yamekuja tofauti.

Wazee muwekage na matreni tupande hata la week 2 huyu Kanji sio poa kabisa
images (1).jpeg
 
Huu uwekezaji kutoboa inawezekana ila shurti uwe na mtaji.

Tafuta odds zako 2 za uhakika, weka kibunda cha kueleweka, subiri kuboom

Ona hizi stake za huyu jamaa wa kuitwa GWISA PUNTER kule Twitter, anatafuta zake odds 2 anaweka kibunda cha maanaView attachment 3223444
Hzo odd 2 unazozisema wewe sio rahisi! Hata odd 1.50 tu kwa siku sio rahisi hata kuwe na mechi elfu moja kila siku bado utaliwa tu na hao unaona wanaopos win kila siku sio kweli wanaedit
 
Hzo odd 2 unazozisema wewe sio rahisi! Hata odd 1.50 tu kwa siku sio rahisi hata kuwe na mechi elfu moja kila siku bado utaliwa tu na hao unaona wanaopos win kila siku e
Hzo odd 2 unazozisema wewe sio rahisi! Hata odd 1.50 tu kwa siku sio rahisi hata kuwe na mechi elfu moja kila siku bado utaliwa tu na hao unaona wanaopos win kila siku sio kweli wanaedit
Sio kweli boss sema wewe ushakutana na vitu vizito
 
Back
Top Bottom