Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aseee kumbe ni 9.6 odds .... Atatokewa mwehu hutoamini
 

Attachments

  • IMG_20160827_112605.jpg
    88.9 KB · Views: 36
noma sana, hela yenyewe ya field magufuli katoa kimagumashi halafu kanjibai kaipiga karibu robo

Dogo nikushauri kitu, kama unatumia hela ya ada kucheza usicheze buku buku, hapo zote zitaisha.

Fanya hivi , mzee akikupa hela ya ada au Magufuli akikupatia hela ya Field nyanyua mzigo wote kama ulivyo chukua timu mbili inplay zipe Over 0.5 yaani omba lipatikani walau goli moja tu. kama mchezo umeshaanza pointi zake huwa ni 1.27X1.27 = 1.61 weka ada yote labuda tuseme laki tano, 500,000X1.61 = 80500X0.82 = 660,100. hapo umeshalipa kodi yao.

Chukua ada kalipe shuleni hlafu hiyo laki moja na nusu endelea kubeti muda wote wa Field au shule.
NB: hakikisha unakunywa dawa za usingizi na usiamke mpaka utakapopewa matokeo na rafiki yako.

USIJARIBU KAMA HUNA PLAN B
 
Mi zangu hizi hapa .....
Arsenal win
Man u win
atletico madrid win
Juventus win
Bradford win
real madrid handicap
leicester city win
Valencia win
zenit st.petersburg win...
Mechi zikiisha mniambie nikachukue pesa yangu....
Stake nimeweka 3000
 
Meridianbet ni kizungumkuti bro ... shida sn hao jamaa. Mi kwa sasa nimejikita mkekabet ingawa wanaweka ligi na options chache kinoma,
wakuu, hadi leo meridian wanazingua mbaya...nimeamua kuhamia premier ila nimedoposit mpunga lakini bado haujasoma kwenye account. je inachukua masaa mangapi salio kusoma? mimi mgeni hapa.
 
wakuu, hadi leo meridian wanazingua mbaya...nimeamua kuhamia premier ila nimedoposit mpunga lakini bado haujasoma kwenye account. je inachukua masaa mangapi salio kusoma? mimi mgeni hapa.
Mbona mie meridian haizingui wakuu
 
wakuu, mbona hawa premier ni kama matapeli? mara ya kwanza nimedeposit wakaniletea reference number nyingine na sasa tena wananiletea reference number tofauti! hawa vipi?
 
natafuta ya supu kesho asubuhi
 

Attachments

  • Screenshot (48).png
    8.3 KB · Views: 37
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…