Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mechi zinaendelea
20250204_130212.jpg
 
Mkuu hakuna mtu anaweza kuiba tiketi I'd Wala hela katika account yako mkuu basi uwe unaweka tu code sio kama hivyo unavyofanya, code tu yenyewe inatosha
Hapo Kuna watu naongea nao , Huwezi nielewa.

Sitangazi kampuni za Watu wala Mimi sio Wakala , So nnikiweka hivyo mtu anaweza akachukua kitu na akaweka kwenye kampuni Anayotaka , Anyway Usijali Sana kuhusu Hizo Id wewe Panda Meli Tufike Nchi ya Ahadi
 
Kama mtu alifuata code niliyotoa jana akaweza ku cash out baada ya timu tano kutoboa basi hongera.
1000042286.png
 

Attachments

  • 1000042286.png
    1000042286.png
    210.4 KB · Views: 4
Back
Top Bottom