Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Cup nazo zinakuwa muda mwingine hazitabiriki yani, labda magoli tu ndo zinafaa
 
Mkuu hakuna mtu anaweza kuiba tiketi I'd Wala hela katika account yako mkuu basi uwe unaweka tu code sio kama hivyo unavyofanya, code tu yenyewe inatosha
Hapo Kuna watu naongea nao , Huwezi nielewa.

Sitangazi kampuni za Watu wala Mimi sio Wakala , So nnikiweka hivyo mtu anaweza akachukua kitu na akaweka kwenye kampuni Anayotaka , Anyway Usijali Sana kuhusu Hizo Id wewe Panda Meli Tufike Nchi ya Ahadi
 
Kama mtu alifuata code niliyotoa jana akaweza ku cash out baada ya timu tano kutoboa basi hongera.
 

Attachments

  • 1000042286.png
    210.4 KB · Views: 4
Leo tuanze na hizi mbili za Betway:
16428CD6 odds 2.16
16428FCF. odds 1.95
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…