Jajejijoju
JF-Expert Member
- May 1, 2022
- 447
- 598
Benfica bora umpe Benfica win kuliko kumpa goli mbili, anaweza shinda moja bila.Nice vs lens weka over 1.5View attachment 3229075
Lile 🥹Nice vs lens weka over 1.5View attachment 3229075
Hatari, odds 64k.Wapenda codeView attachment 3229077
MtoeIla
Lile 🥹
TImu husika ikifunga bao 2 tu mkeka umetiki hata kama kafungwa 2-3,2-4,2-5GUSA ACHIA BAHASHA GOLI hii option ya 2UP inamaana gani?
Mpe GG yes (both teams to score - yes), au over 1.5 goals. Options nje ya hapo ni risk zaidi.Ila
Lile 🥹
Duh! Mbona ni option delicate sana? Means ikiscore goli 3 umeloose?TImu husika ikifunga bao 2 tu mkeka umetiki hata kama kafungwa 2-3,2-4,2-5
Unadhan kila mtu ana hela ya kustake ya uhakika. Betting ni bahati,sh 100 inaweza kukupa million kadhaaMphamvu your right much respect.
Hii natembea nayoNice vs lens weka over 1.5View attachment 3229075
Wikendi hii FA CUP Uingeleza cheza kwa tahadhari kwa kuwa makocha wengi hudharau haya makombe na kupanga kikosi cha pili.
Man city & Liverpool win, Newcastle & Chelsea - dabo chansi ya win or draw ndiyo yanaweza kuwa machaguo salama zaidi. Hapa ukitaka drop mechi moja drop ya Newcastle, kamfanya vibaya Arsenal weekend.
Hatari sana, naamini Man City inashinda huu mchezo.Man city ashapigwa kimoja half time