Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wapenda code
Screenshot_20250208-122056_SportyBet.jpg
 
Kule Scotland wanacheza scottish cup, mechi za Celtic na Rangers ambazo ni timu kubwa hazina maana. Zina odd 1.05, bora kuachana nazo wikendi hii.
 
Ligi kuu ufaransa kwa wikendi hii mechi za Marseille na ile mechi ya Nice zote zipe GG - yes, i.e. both teams to score - yes.
 
Mwisho kabisa tukimalizia ligi kuu ya Ujerumani, mechi zote za hizi timu tatu zipe both teams to score a goal - yes. I.e. GG - yes.
-Burussia Dortmund,
-Wolfsburg, na
Eintracht Frankfurt.
 
Wikendi hii FA CUP Uingeleza cheza kwa tahadhari kwa kuwa makocha wengi hudharau haya makombe na kupanga kikosi cha pili.
Man city & Liverpool win, Newcastle & Chelsea - dabo chansi ya win or draw ndiyo yanaweza kuwa machaguo salama zaidi. Hapa ukitaka drop mechi moja drop ya Newcastle, kamfanya vibaya Arsenal weekend.

Man city ashapigwa kimoja half time
 
Back
Top Bottom