Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Makocha wote wakubwa wa ligi kuu kubwa za ulaya wanathamini ligi kuu na uefa pekee, huko ndiyo wanapanga full squad.
 
Kweli kabisa mkuuu
Gardiola alitaka chana mkeka mapema kabisa kwa kupanga hao watoto wake, ile principal ya kubashiria mechi za ligi kuu pekee ina hold sana.
Leo niliamua ipuuzia kidogo Man City afanye yake.
Ngoja tusubirie ya Liverpool, Chelsea na Newcastle.
 
Timu ikiongoza kwa goli 2 mfano 2-0 hata km ni dk ya 1 Mkeka unakua umeitoa, hata km itakuja kufungwa baadae
Ok sawa, hata ikijaongeza goli zingine baadaye mkeka unakuwa tayari ulishatick?
Inamaana kuwa ni timu X ifunge angalau goli mbili?
 
Gardiola alitaka chana mkeka mapema kabisa kwa kupanga hao watoto wake, ile principal ya kubashiria mechi za ligi kuu pekee ina hold sana.
Leo niliamua ipuuzia kidogo Man City afanye yake.
Ngoja tusubirie ya Liverpool, Chelsea na Newcastle.
Mkuu ungetuma code nifate mkeka wako
 
Ok sawa, hata ikijaongeza goli zingine baadaye mkeka unakuwa tayari ulishatick?
Inamaana kuwa ni timu X ifunge angalau goli mbili?
Ndio. Cha msingi ni yule uliempa ashinde, akimzidi mpinzani kwa goli mbili tu kwa wakati huo, haijalishi atakuja kuongeza goli nyingine au atakuja kufungwa na kupoteza mchezo hapo baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…