makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,089
- 4,086
Mkuu? Ashindeeee Man city? Ngoja tuone kama haha goli anaweza kupata!Hatari sana, naamini Man City inashinda huu mchezo.
Anacheza hovyo sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu? Ashindeeee Man city? Ngoja tuone kama haha goli anaweza kupata!Hatari sana, naamini Man City inashinda huu mchezo.
Umesema kweli Mzee 😂Hatari sana, naamini Man City inashinda huu mchezo.
Gardiola alizingua kupanga watoto wote mwanzoni, naona hawa wakongwe wawili walioingia subs ndiyo wamefunga magoli.Umesema kweli Mzee 😂
Makocha wote wakubwa wa ligi kuu kubwa za ulaya wanathamini ligi kuu na uefa pekee, huko ndiyo wanapanga full squad.
Kweli kabisa mkuuuGardiola alizingua kupanga watoto wote mwanzoni, naona hawa wakongwe wawili walioingia subs ndiyo wamefunga magoli.
Timu ikiongoza kwa goli 2 mfano 2-0 hata km ni dk ya 1 Mkeka unakua umeitoa, hata km itakuja kufungwa baadaeGUSA ACHIA BAHASHA GOLI hii option ya 2UP inamaana gani?
Gardiola alitaka chana mkeka mapema kabisa kwa kupanga hao watoto wake, ile principal ya kubashiria mechi za ligi kuu pekee ina hold sana.Kweli kabisa mkuuu
Ok sawa, hata ikijaongeza goli zingine baadaye mkeka unakuwa tayari ulishatick?Timu ikiongoza kwa goli 2 mfano 2-0 hata km ni dk ya 1 Mkeka unakua umeitoa, hata km itakuja kufungwa baadae
Mkuu ungetuma code nifate mkeka wakoGardiola alitaka chana mkeka mapema kabisa kwa kupanga hao watoto wake, ile principal ya kubashiria mechi za ligi kuu pekee ina hold sana.
Leo niliamua ipuuzia kidogo Man City afanye yake.
Ngoja tusubirie ya Liverpool, Chelsea na Newcastle.
Kampuni nayocheza haina kugenerate code, ila summary ya machaguo niliyokuwa naweka hapa kwa ligi mbalimbali ndizo options nilizocheza.Mkuu ungetuma code nifate mkeka wako
Ndio. Cha msingi ni yule uliempa ashinde, akimzidi mpinzani kwa goli mbili tu kwa wakati huo, haijalishi atakuja kuongeza goli nyingine au atakuja kufungwa na kupoteza mchezo hapo baadaeOk sawa, hata ikijaongeza goli zingine baadaye mkeka unakuwa tayari ulishatick?
Inamaana kuwa ni timu X ifunge angalau goli mbili?
Haina shida MkuuKampuni nayocheza haina kugenerate code, ila summary ya machaguo niliyokuwa naweka hapa kwa ligi mbalimbali ndizo options nilizocheza.
Naona Kuna odds 2.25 game ya Betis vs celta kwa over ya 4.5 dk ya 81
Naona Kuna odds 2.25 game ya Betis vs celta kwa over ya 4.5 dk ya 81
Bado mojaKuna odds 2.00 game ya Atalanta itoe over 5.5 goli sita .... Mpaka Sasa Atalanta ana goli 4 dk ya 45
Fataaaa