we utakua unachanganya desa , mbona ni rahisi sanasasa mbona hakuna mahali pa kuingiza ACCOUNT ID ili hela ziingie kwenye akaunti yangu? hizi REFERENCE NUMBER tofautitofauti ndio zinakula hela zangu. mpaka sasa akunti insoma zero:
View attachment 388580
mbona account id iko hapo mbele ya jina mkuuwakuu, hapa naongelea premier...nimeishajitoa meridian baada ya kuona server errors zimezidi. Hiyo TRANSACTION ID ni kitu gani? Mbona sipati mahali pa kuijaza kwenye menu yangu ya mpesa?
View attachment 388593
mkuu, steps hizi zote nimefuata lakini sipati mahali pa kuingiza hiyo inayoitwa TRANSACTION ID na account yangu hadi sasa inasoma TZS 0.00ukifuata kama ilivo hapa chini basi utafanikiwa unless kikiristo hakipandi vizuri sema utafsiriwe, halafu sio matapeli hawa
mimi nimeishawahama mkuu...sasa nahangaika kujiunga PREMIER BETMeridian wameshindwa kunitumia tsh 20000/= yangu niliwithdraw wiki ya pili sasa.
Meridian wameshindwa kuingiza stake niliyodeposit week ya tatu sasa.
Chondechonde epuka utapeli wao.
transaction ID ndio ref number wanayo kupa.wakuu, hapa naongelea premier...nimeishajitoa meridian baada ya kuona server errors zimezidi. Hiyo TRANSACTION ID ni kitu gani? Mbona sipati mahali pa kuijaza kwenye menu yangu ya mpesa? huenda hapa ndipo ninapochemia.
View attachment 388593
Mkuu Mimi wiki ya tatu hii, nimedhulumiwa.Mbona mie meridian haizingui wakuu
Jombaaaa Reference namba umepewa apowakuu, hapa naongelea premier...nimeishajitoa meridian baada ya kuona server errors zimezidi. Hiyo TRANSACTION ID ni kitu gani? Mbona sipati mahali pa kuijaza kwenye menu yangu ya mpesa? huenda hapa ndipo ninapochemia.
View attachment 388593
sasa mbona ninapodeposit kwa mpesa hawanipi sehemu ya kuingiza hiyo ID na kwenye maelezo yao ya kudeposit wameiweka?mbona account id iko hapo mbele ya jina mkuu
kwa hiyo hii niliyozungusha naiSKIP mkuu?Jombaaaa Reference namba umepewa apo
57981
Ndio utaitumia kuweka katika hatua ya kumbukumbu namba ya malipo...
Usitumie iyo ulio zungusha apo....
Tumia hii nilio weka red colorkwa hiyo hii niliyozungusha naiSKIP mkuu?
Kwenye mpesa.... Unaingiza reference na Namba ya kampuni ....sasa mbona ninapodeposit kwa mpesa hawanipi sehemu ya kuingiza hiyo ID na kwenye maelezo yao ya kudeposit wameiweka?
Mkuu tupe site hiyo tuifanyie kazi