Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wazee wa live leo gemu zipi za kuruka nazo maana ya arsenal imepooza haina amsha amsha isije ikatoa 0-0 na mimi ni wa magoli tu.Labda wa naoenda na masoko mengine
 
1xbet wamenipa Registration Anniversary free bet ya mkeka wa kuanzia game 3 na kila game odd zianzie 1.4
Sh 95,000

Cha ajabu ni kwamba hakuna mwaka ambao nimewahi ku win hii free bet
Kila mwaka na lost game moja kati ya tatu 😳
 
Weka over 2.5 gemu tatu za England premier ligi zinaweza kutoa zote zilizobaki isipokuwa Arsenal tu
1xbet wamenipa Registration Anniversary free bet ya mkeka wa kuanzia game 3 na kila game odd zianzie 1.4
Sh 95,000

Cha ajabu ni kwamba hakuna mwaka ambao nimewahi ku win hii free bet
Kila mwaka na lost game moja kati ya tatu 😳
 
Wakamaria habari zenu.
Betting haina mwenyewe ila naombeni maoni yenu hapa nataka niweke nusu ya utajiri wangu kwenye hizi mechi mbili
 
Wakamaria habari zenu.
Betting haina mwenyewe ila naombeni maoni yenu hapa nataka niweke nusu ya utajiri wangu kwenye hizi mechi mbiliView attachment 3237086
Mkuu kwa kawaida unapokua unafanya UBASHIRI lazima kuna FACT zinazokuwa zinakusukuma kufanya machaguo
Labda Atalanta anafunga sana unashawishika kuweka over 1.5
Labda Aseno wako form unawapa Win, Liver wanashambulia sana unawapa short on target au kona nk.... sio lazima itoe hata hivyo

Hapo umechagua timu moja wapo NI LAZIMA ishinde..... Yes inawezekana kabisa kwa 70%
Lakini kwangu hii ni sawa na kurusha shilingi huwa hakuna UCHAMBUZI hapo
AU umechungulia ukaona timu hizi huwa hazitoi sana draw?

All in all hii ni BAHATI NASIBU unaweza kuacha IKATOA au ukaweka ukapigwa

Binafsi hapa nakuna kichwa odd 1.4 kwa game 3 jasho linanitoka

Nimeamua kumfuata Madrid mazima 1.5, nikiangalia mpinzani wake anaweza kuwazui Mpape, Vin, Diaz na Bellingham pale mbele?
Bado nachaka game zingine 2
 
Nakuelewa mkuu,

Iko hivi, mimi huwa nabeti kwa wiki mara moja huwa natafuta odds 5 naweka mzigo.
kula na kuliwa hiyo ni kawaida kwenye Betting, na katika kila mkeka unaochan huwa inachana mechi moja au mbili.

Sasa mkeka wa wiki hii nimeweka kama kawaida Odds 5, kutoka humo kwenye Odds tano nimeangalia mechi mbili nijilipue zaidi nimeziona hizo hapo.
 
Wadau msaada mwenye matokeo ya hii mechi maana niifuata naiona hapo wanatoa matokeo hayo kwamba ni 0-0
 

Attachments

  • Screenshot_2025-02-15-17-42-20-348_com.sofascore.results.jpg
    280.4 KB · Views: 2
Wazee wa live kuna game hii ya leganes v alaves kama mtu karuka nayo itakuwa kampiga kanji maana ina goli 5 mpaka sasa.
 
Hio maana mechi inafutwa kwenye mkeka na zile odds zingine ndio zitahesabiwa au dau lako litarejeshwa endapo mkeka ulikuwa na mechi 1.
Ok niifuta yenyewe live mechi moja kama kuludisha hela mbona mpaka sasa bado hawajaludisha
 
Aisee odd za Man City nilizatami kweli Nikazipita kama sizioni vile

Yaani tunamuogopa Man City utadhani ni Ipwich Town 😂
Naona anakwenda kushinda kilaiini kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…