MrPredictor
Member
- Aug 21, 2018
- 47
- 72
Aaah nilidhani single game kutoka ngumuHii ishatoa arsenal offside ya 4 hii wanaruka ruka tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah nilidhani single game kutoka ngumuHii ishatoa arsenal offside ya 4 hii wanaruka ruka tu.
5D63E3 Sportbety. Leo magoli tu.oko majimaji mkuu vipi leo
1xbet wamenipa Registration Anniversary free bet ya mkeka wa kuanzia game 3 na kila game odd zianzie 1.4
Sh 95,000
Cha ajabu ni kwamba hakuna mwaka ambao nimewahi ku win hii free bet
Kila mwaka na lost game moja kati ya tatu 😳
Hiyo bonus wanataka uweke 1x2 tu,na siyo machaguo mengineWeka over 2.5 gemu tatu za England premier ligi zinaweza kutoa zote zilizobaki isipokuwa Arsenal tu
Hapo inabidi utie kibunda odds chache.Wakamaria habari zenu.
Betting haina mwenyewe ila naombeni maoni yenu hapa nataka niweke nusu ya utajiri wangu kwenye hizi mechi mbiliView attachment 3237086
Mkuu kwa kawaida unapokua unafanya UBASHIRI lazima kuna FACT zinazokuwa zinakusukuma kufanya machaguoWakamaria habari zenu.
Betting haina mwenyewe ila naombeni maoni yenu hapa nataka niweke nusu ya utajiri wangu kwenye hizi mechi mbiliView attachment 3237086
Nakuelewa mkuu,Mkuu kwa kawaida unapokua unafanya UBASHIRI lazima kuna FACT zinazokuwa zinakusukuma kufanya machaguo
Labda Atalanta anafunga sana unashawishika kuweka over 1.5
Labda Aseno wako form unawapa Win, Liver wanashambulia sana unawapa short on target au kona nk.... sio lazima itoe hata hivyo
Hapo umechagua timu moja wapo NI LAZIMA ishinde..... Yes inawezekana kabisa kwa 70%
Lakini kwangu hii ni sawa na kurusha shilingi huwa hakuna UCHAMBUZI hapo
AU umechungulia ukaona timu hizi huwa hazitoi sana draw?
All in all hii ni BAHATI NASIBU unaweza kuacha IKATOA au ukaweka ukapigwa
Binafsi hapa nakuna kichwa odd 1.4 kwa game 3 jasho linanitoka
Nimeamua kumfuata Madrid mazima 1.5, nikiangalia mpinzani wake anaweza kuwazui Mpape, Vin, Diaz na Bellingham pale mbele?
Bado nachaka game zingine 2
Hii game iliishaje kiongozi maana niliifuata alafu sielewi nipe matokeo yakeWazee wa live dili hilooo ... Dk ya 22 goli 4 zimetoka 🤣
View attachment 3237016
Hio maana mechi inafutwa kwenye mkeka na zile odds zingine ndio zitahesabiwa au dau lako litarejeshwa endapo mkeka ulikuwa na mechi 1.Wadau msaada mwenye matokeo ya hii mechi maana niifuata naiona hapo wanatoa matokeo hayo kwamba ni 0-0
Ok niifuta yenyewe live mechi moja kama kuludisha hela mbona mpaka sasa bado hawajaludishaHio maana mechi inafutwa kwenye mkeka na zile odds zingine ndio zitahesabiwa au dau lako litarejeshwa endapo mkeka ulikuwa na mechi 1.
2-3Hii game iliishaje kiongozi maana niliifuata alafu sielewi nipe matokeo yake