Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kwa lost za leo mpaka nimeamua ku cash out shing 3 toka laki mbili yote hayo kipigo mpaka kamalia dishi la kichwa linayumba unajikuta shngp tatu kama laki tatu hapa usingizini umekata
 
Ukiona unaitwa kwenye fursa ujue wewe ndio fursa. Yaani kumbe kuna watu huwa wanaombea sisi tuliwe ili wao wapate hela. Achana na mhindi, ni hawa hawa binadamu wenzetu tunaobeti nao.View attachment 3241237
Ukiona umepewa code pamoja na promo code number basi ujue wewe ndo mlengwa...mtoa code hapati hasara maana ukiliwa yeye analipwa....
 
Tatizo letu tunaipa ushindi timu bila kuangalia mahitaji ya hiyo timu. Mfano Bayern Jana alihitaji sare ili asonge mbele. Leo Real madrid, PSG , dotmund n.k wanahitaji japo sare ili waende hatua inayofuata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…