Sawa mkuuOkay ngoja tujoin
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuOkay ngoja tujoin
Hongera zakeBahati mbaya kwangu huu mkeka sikuupata, HONGERA UMEUPATIA 100% UMETOA
Upande mwingine tuliompa bayani muniki tushalala.Uwekezaji ni mgumu wanangu hivi Atalanta ni wa kula chuma tatu chap chap.
Ukiona umepewa code pamoja na promo code number basi ujue wewe ndo mlengwa...mtoa code hapati hasara maana ukiliwa yeye analipwa....Ukiona unaitwa kwenye fursa ujue wewe ndio fursa. Yaani kumbe kuna watu huwa wanaombea sisi tuliwe ili wao wapate hela. Achana na mhindi, ni hawa hawa binadamu wenzetu tunaobeti nao.View attachment 3241237
mkuu msaada wa odd 10Bayarn na atalanta, atalanta upo nyumbn imekushnda ata sare?
Bayern ulishnda ugenini unakuja kushona sare nyumbn kweli? Lol
Kampuni Gani hii mkuu