Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Msaada namna ya kuwithdraw au kutoa salio kutoka paripesa kwenda kwenye namba ya simu.
Fungua app ya PARIPESA, app ikifunguka, nenda kwenye menu ya chini. Utaona kuna neno limeandikwa MENU, bonyeza hilo neno, utafunguka ukurasa mwingine, nenda upande wa kulia juu kuna alama ya icon ya settings, bonyeza hiyo alama, itafunguka menu na utakuta Neno withdraw, Bonyeza hilo neno na utaendelea na process za kutoa.
 
Sportybet


Code : 65T8DJ


Stake : 20 Tshs


TUNAWEZA KUSHINDA MILIONI 100 kimasihara
 

Attachments

  • Screenshot_20250222-115403~2.png
    44 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…