Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Mkuu Tunaambiwa tusichanganye mahaba ya timu zetu na betting lakini HATUKOMI 😂
Ila kwa sasa “Man U win” siitaki tena
Umemuamini atapata goli 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Tunaambiwa tusichanganye mahaba ya timu zetu na betting lakini HATUKOMI 😂
Ila kwa sasa “Man U win” siitaki tena
@Ser👆Msaada namna ya kuwithdraw au kutoa salio kutoka paripesa kwenda kwenye namba ya simu.
SerMsaada namna ya kuwithdraw au kutoa salio kutoka paripesa kwenda kwenye namba ya simu
Nenda Sportybet kwenye huo mduara bonyeza hapo harafu soko ambalo unahisi litatoa wekaNaombeni msaada namna ya kuweka masoko mengi kwenye mechi moja.
Mfano game hiyohiyo moja
1.double chance
2. Magoli (over/under)
3.corners
4. Fouls nk
Fungua app ya PARIPESA, app ikifunguka, nenda kwenye menu ya chini. Utaona kuna neno limeandikwa MENU, bonyeza hilo neno, utafunguka ukurasa mwingine, nenda upande wa kulia juu kuna alama ya icon ya settings, bonyeza hiyo alama, itafunguka menu na utakuta Neno withdraw, Bonyeza hilo neno na utaendelea na process za kutoa.Msaada namna ya kuwithdraw au kutoa salio kutoka paripesa kwenda kwenye namba ya simu.
Nimeufata kama ulivo.CMXGMS3 betpawa
Mbet kumbe bado walikuwepoM bet app lao limekufa hovyo sn
Ukichukua code unaedit sehemu ambayo unaona tofauti na mawazo yangu unaweka sio jinsi ulivyo hivyoNimeufata kama ulivo.